Term 1 Planning Sequence 14 of 42 Sub-strands · 56 Lessons

Grade 12 Kiswahili Term 1 Schemes of Work

Suggested Term 1 teaching sequence for Grade 12 Kiswahili covering 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 1.2 Kusoma, 1.3 Kuandika, 1.4 Matumizi ya Lugha, 2.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 2.2 Kusoma, 2.3 Kuandika, 2.4 Matumizi ya Lugha, 3.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 3.2 Kusoma, 3.3 Kuandika, 3.4 Matumizi ya Lugha, 4.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 4.2 Kusoma. Official KICD designs provide the authoritative annual sequence and do not prescribe Term 1/2/3 assignments; ElimuKit sequentially partitions verified units across three terms for planning convenience.

Preview Term 1 Weeks 1–3 Free Full Subject Syllabus Kiswahili Lesson Plans
Term 1Switch to Term 2Switch to Term 3

Term 1 10-Column Sample Entries (Weeks 1–2)

Wiki Kipindi Mada Kijisehemu cha mada Matokeo Maalum ya Kujifunza Shughuli za Kujifunza Maswali Dadisi Nyenzo Tathmini Maoni
1 1 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza 1.1.1 Ufahamu wa Kusikiliza Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kueleza maana ya ujumbe na fani katika matini ili kuipambanua kueleza maana ya ujumbe na fani akishirikiana na wenzake Kuzingatia ujumbe na fani katika matini fafanuzi kuna umuhimu gani? Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 2 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza 1.1.1 Ufahamu wa Kusikiliza Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutabiri ujumbe wa matini fafanuzi kwa kuzingatia anwani au picha kutabiri ujumbe wa matini fafanuzi anayoisikiliza kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia anwani au picha Kuzingatia ujumbe na fani katika matini fafanuzi kuna umuhimu gani? Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 3 1.2 Kusoma 1.2.1 Kusoma kwa Ufasaha Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha kueleza maana ya kusoma kwa ufasaha Kusoma kifungu cha kushawishi kwa ufasaha kuna umuhimu gani? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 4 1.2 Kusoma 1.2.1 Kusoma kwa Ufasaha Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu cha kushawishi akizingatia matamshi bora kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha akishirikiana na wenzake (k.v. matamshi bora, kiwango kifaacho cha sauti, kasi ifaayo, viakifishi, kiimbo na viziada lugha) Unahitaji kuzingatia nini ili uweze kusoma kifungu cha kushawishi kwa ufasaha? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
2 1 1.3 Kuandika 1.3.1 Viakifishi Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kujadili matumizi ya nukta za dukuduku, mabano mduara/parandesi, mabano mraba, kistari kifupi, kistari kirefu na mshazari/mkwaju katika matini kujadili matumizi ya nukta za dukuduku, mabano mduara/parandesi, mabano mraba, kistari kifupi, kistari kirefu na mshazari/mkwaju akishirikiana na wenzake Haijatumia nukta za Kutumia alama za uakifishi katika maandishi kuna umuhimu gani? Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi) Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
2 2 1.3 Kuandika 1.3.1 Viakifishi Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutumia ipasavyo nukta za dukuduku, mabano mduara/parandesi, mabano mraba, kistari kifupi, kistari kirefu na mshazari/mkwaju katika uandishi wa matini kusakura mtandao salama na kusoma kuhusu matumizi ya nukta za dukuduku, mabano mduara/parandesi, mabano mraba, kistari kifupi, kistari kirefu na mshazari/mkwaju Haijatumia nukta za Kutumia alama za uakifishi katika maandishi kuna umuhimu gani? Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi) Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

Term 1 Sequentially Partitioned Sub-strands & Objectives

1.1 Kusikiliza na Kuzungumza · 4 Lessons

1.1.1 Ufahamu wa Kusikiliza

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza maana ya ujumbe na fani katika matini ili kuipambanua
  • kutabiri ujumbe wa matini fafanuzi kwa kuzingatia anwani au picha
  • kutambua ujumbe katika matini fafanuzi aliyoisikiliza

Key Inquiry: Kuzingatia ujumbe na fani katika matini fafanuzi kuna umuhimu gani?

Learning Resources: Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

1.2 Kusoma · 4 Lessons

1.2.1 Kusoma kwa Ufasaha

Specific Learning Outcomes:
  • kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
  • kusoma kifungu cha kushawishi akizingatia matamshi bora
  • kusoma kifungu cha kushawishi akizingatia kasi ifaayo na kiwango kifaacho cha sauti

Key Inquiry Questions: Kusoma kifungu cha kushawishi kwa ufasaha kuna umuhimu gani? · Unahitaji kuzingatia nini ili uweze kusoma kifungu cha kushawishi kwa ufasaha?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa; Chati za mazungumzo na maamkizi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

1.3 Kuandika · 4 Lessons

1.3.1 Viakifishi

Specific Learning Outcomes:
  • kujadili matumizi ya nukta za dukuduku, mabano mduara/parandesi, mabano mraba, kistari kifupi, kistari kirefu na mshazari/mkwaju katika matini
  • kutumia ipasavyo nukta za dukuduku, mabano mduara/parandesi, mabano mraba, kistari kifupi, kistari kirefu na mshazari/mkwaju katika uandishi wa matini
  • kujenga mazoea ya kutumia alama za uakifishi ifaavyo katika matini ili kufanikisha mawasiliano

Key Inquiry: Haijatumia nukta za Kutumia alama za uakifishi katika maandishi kuna umuhimu gani?

Learning Resources: Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

1.4 Matumizi ya Lugha · 4 Lessons

1.4.1 Aina za Maneno

Specific Learning Outcomes:
  • kujadili maana ya viwakilishi ili kuipambanua
  • kujadili aina mbalimbali za viwakilishi ili kuvibainisha
  • kutambua aina mbalimbali za viwakilishi katika matini

Key Inquiry: Kuna umuhimu gani kujifunza aina mbalimbali za viwakilishi?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Jedwali la uundaji sentensi, kapu maneno na kadi za maneno; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

2.1 Kusikiliza na Kuzungumza · 4 Lessons

2.1.1 Matamshi Bora

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua maneno yenye sauti /sw/ na /zw/, /nz/ na /nzw/ katika matini
  • kutamka maneno yenye sauti /sw/ na /zw/, /nz/ na /nzw/ ipasavyo katika maneno
  • kutunga sentensi zenye maneno yaliyo na sauti /sw/ na /zw/, /nz/ na /nzw/ ili kutofautisha maana yake

Key Inquiry Questions: Je, ni vifaa au hali zipi katika mazingira yako ambazo zina majina yenye sauti /sw/ na /zw/, /nz/ na /nzw/? · Kwa nini ni muhimu kutamka maneno ipasavyo tunapowasiliana?

Learning Resources: Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

2.2 Kusoma · 4 Lessons

2.2.1 Kusoma kwa Ufahamu

Specific Learning Outcomes:
  • kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi alichosoma
  • kupanga hoja zinavyofuatana katika kifungu cha kushawishi alichosoma
  • kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha kushawishi alichosoma

Key Inquiry Questions: Je, umewahi kusoma kifungu cha kushawishi kuhusu nini? · Unazingatia vipengele gani ili kupata ujumbe katika kifungu cha kushawishi?

Learning Resources: Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Makala na vifungu teule vya kusoma

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

2.3 Kuandika · 4 Lessons

2.3.1 Uandishi wa Kiuamilifu

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza maana ya baruapepe ili kuipambanua
  • kujadili miktadha ambapo baruapepe hutumika
  • kueleza umuhimu wa baruapepe katika mawasiliano

Key Inquiry Questions: Umewahi kuandika baruapepe kuhusu nini? · Kwa nini ni muhimu kuandika baruapepe?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

2.4 Matumizi ya Lugha · 4 Lessons

2.4.1 Ngeli za Nomino

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U YA, U U, KU KU na PA KU MU, katika sentensi
  • kujadili sifa za nomino za ngeli ya U YA, U U, KU KU na PA KU MU ili kuzipambanua
  • kutambua nomino za ngeli ya U YA, U U, KU KU na PA KU MU katika matini

Key Inquiry: Je, upatanisho wa kisarufi una umuhimu gani katika mawasiliano?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Jedwali la uundaji sentensi, kapu maneno na kadi za maneno; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

3.1 Kusikiliza na Kuzungumza · 4 Lessons

3.1.1 Kuzungumza kwa Kupasha Habari

Specific Learning Outcomes:
  • kujadili dhana ya kuzungumza kwa kupasha habari ili kuipambanua
  • kujadili miktadha ambapo kuzungumza kwa kupasha habari kuhusu matukio, hali na michakato hutokea katika jamii yake
  • kutambua uzungumzaji wa kupasha habari kuhusu matukio, hali na michakato miongoni mwa aina mbalimbali

Key Inquiry Questions: Kushiriki katika mazungumzo ya kupasha habari kuhusu matukio, hali na michakato kuna manufaa gani? · Unazingatia nini ili kufanikisha mazungumzo ya kupasha habari kuhusu matukio, hali na michakato?

Learning Resources: Vifaa vya uigizaji na kadi za mazungumzo; Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

3.2 Kusoma · 4 Lessons

3.2.1 Ufupisho

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza maana ya ufupisho ili kuipambanua
  • kujadili miktadha ambapo ufupishaji wa habari hutumika
  • kujadili vipengele vya kuzingatia katika kufupisha kifungu cha kushawishi

Key Inquiry Questions: Ufupisho wa habari una umuhimu gani katika mawasiliano? · Tunazingatia vipengele vipi tunapofupisha kifungu cha kushawishi?

Learning Resources: Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

3.3 Kuandika · 4 Lessons

3.3.1 Uandishi wa Kiuamilifu

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza maana ya wasifukazi ili kuipambanua
  • kujadili umuhimu wa kuandika wasifukazi
  • kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa wasifukazi ili kuvibainisha

Key Inquiry Questions: Kwa nini ni muhimu kuandika wasifukazi? · Je, unazingatia nini unapoandika wasifukazi?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

3.4 Matumizi ya Lugha · 4 Lessons

3.4.1 Nyakati na Hali

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza dhana ya hali ya masharti ili kuitofautisha na hali nyingine
  • kueleza matumizi ya hali ya -ngali- ifaavyo katika sentensi na vifungu

Key Inquiry Questions: Je, umewahi kutunga sentensi katika hali ya masharti kuhusu nini? · Kutumia ki ya masharti, nge na ngali ipasavyo kuna umuhimu gani katika mawasiliano?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Jedwali la uundaji sentensi, kapu maneno na kadi za maneno; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Chati za viakifishi na uandishi bora

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

4.1 Kusikiliza na Kuzungumza · 4 Lessons

4.1.1 Kusikiliza kwa Kupata Habari

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua miktadha ambapo usikilizaji wa kupata habari hufanyika ili kuitofautisha na miktadha mingine ya usikilizaji
  • kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kupata habari ili kuvipambanua
  • kushiriki katika kusikiliza kwa kupata habari akizingatia mpangilio ufaao wa mawazo, kutafakari na kuuliza maswali

Key Inquiry Questions: Je, umewahi kusikiliza matini ya kupasha habari kuhusu nini? · Je, kwa nini ni muhimu kushiriki katika usikilizaji wa kupata habari?

Learning Resources: Vifaa vya uigizaji na kadi za mazungumzo; Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

4.2 Kusoma · 4 Lessons

4.2.1 Kusoma kwa Mapana

Specific Learning Outcomes:
  • kujadili vipengele mbalimbali vya kuzingatia katika kusoma kwa mapana ili kuvibainisha
  • kushiriki kusoma kwa mapana akizingatia vipengele vifaavyo
  • kuandika muhtasari wa ujumbe wa matini ambayo amesoma

Key Inquiry Questions: Je, unapata manufaa yepi unaposoma kwa mapana? · Ni mambo yepi unayozingatia unaposoma kwa mapana?

Learning Resources: Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Makala na vifungu teule vya kusoma

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

KICD Curriculum Source & Editorial Verification

Compiled directly from verified curriculum unit records matching KICD design KICD-SS-Grade12-KIS. ElimuKit preserves official strand/sub-strand codes, lesson allocations, and Key Inquiry Questions without fabricated topics. Read verification methodology →

  • Kiswahili_Gredi_12_-_Machi_2026.pdf (Printed pages 1–38) · 14 verified sub-strand units

Frequently Asked Questions

What topics are covered in Grade 12 Kiswahili Term 1?

This suggested Term 1 sequence groups 14 of 42 verified KICD sub-strands (1.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 1.2 Kusoma, 1.3 Kuandika) totaling 56 lessons from the annual Grade 12 Kiswahili KICD design.

Is this Term 1 division an official KICD term allocation?

No. Official KICD curriculum designs provide the authoritative annual sequence and do not prescribe Term 1, Term 2, or Term 3 assignments (our verified curriculum dataset contains no official term field). ElimuKit sequentially partitions verified units across the three terms for planning convenience—making these term divisions practical planning suggestions rather than official KICD term allocations. You can adjust strand selections for Term 1 in the scheme generator.