Grade 6 Kiswahili Lesson Plans (35 Minutes)
ElimuKit 35-minute classroom-planning template aligned with verified Grade 6 Kiswahili KICD learning outcomes and learning experiences (44 sub-strands, 94 lessons total).
Sample 35-Minute Classroom-Planning Template
Muda wa kipindi (dakika 35) na mgawanyo wa Utangulizi (dakika 5), Hatua za Somo, na Hitimisho (dakika 5) ni kiolezo cha upangaji cha ElimuKit kilichooanishwa na Matokeo Maalum na Shughuli za Kujifunza za KICD—si amri rasmi ya KICD ya dakika.
Specific Learning Outcome: Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno
Key Inquiry Question: Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa; Chati za mazungumzo na maamkizi
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika; Kazi mradi
Additional Sample Template: 4.4.2 Umoja na Wingi wa Sentensi: Ngeli ya YA-YA (35 Min)
Specific Learning Outcome: Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya YA-YA kwenye sentensi
Key Inquiry Question: Je, unajua majina gani ya vitu ambayo hayabadiliki katika umoja na wingi?
Lesson Flow: Mwalimu arejelee somo lililopita na aulize swali dadisi: "Je, unajua majina gani ya vitu ambayo hayabadiliki katika umoja na wingi?". atambue viambishi vya ngeli ya YA- YA katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi
All 44 Lesson Sub-strands in Grade 6 Kiswahili
- 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza: 1.1.1 Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi Sauti: d/nd ch/sh j/nj g/ng (4 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno | KIQ: Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?
- 1.3 Kuandika: 1.3.1 Kuandika Insha: Insha ya Wasifu (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu | KIQ: Je, insha nzuri ya wasifu ina muundo gani?
- 1.4 Sarufi: 1.4.1 Aina za Maneno: Vivumishi vya Sifa (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno | KIQ: Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?
- 1.4 Sarufi: 1.4.2 Aina za Maneno: Vivumishi Viashiria (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha | KIQ: Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?
- 1.4 Sarufi: 1.4.3 Aina za Maneno: Vivumishi Vimilikishi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kuelezea maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi | KIQ: Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?
- 2.1 Kusikiliza na Kuzungumza: 2.1.1 Maamkuzi na Maagano (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kujadili umuhimu maamkuzi na maagano katika mawasiliano | KIQ: Kwa nini watu huamkuana?
- 2.2 Kusoma: 2.2.1 Kusoma kwa Kina: Matumizi ya Kamusi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua maana, tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi | KIQ: Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi?
- 2.3 Kuandika: 2.3.1 Kuandika Insha: Insha za Masimulizi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi | KIQ: Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
- 2.4 Sarufi: 2.4.1 Aina za Maneno: Vivumishi vya Idadi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi | KIQ: Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu?
- 2.4 Sarufi: 2.4.2 Aina za Maneno: Vivumishi Viulizi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi | KIQ: Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?
- 2.4 Sarufi: 2.4.3 Aina za Maneno: Kivumishi Kirejeshi (amba-) (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ili kuyabainisha | KIQ: Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?
- 3.1 Kusikiliza na Kuzungumza: 3.1.1 Matamshi Bora: Vitendawili Sauti: -d/nd -ch/sh -j/nj -g/ng (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuvibainisha | KIQ: Je, kwa nini watu hutega na kutegua vitendawili?
- 3.2 Kusoma: 3.2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Hadithi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua msamiati wa mahusiano uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu | KIQ: Kuna umuhimu gani kusoma kuhusu mahusiano?
- 3.3 Kuandika: 3.3.1 Kuandika kwa Kutumia Tarakilishi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi | KIQ: Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?
- 3.4 Sarufi: 3.4.1 Aina za Maneno: Viwakilishi vya Nafsi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine | KIQ: Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali?
- 3.4 Sarufi: 3.4.2 Aina za Maneno: Viwakilishi Viashiria (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kueleza maana ya viwakilishi viashiria ili kuvibainisha | KIQ: Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha umbali wa kitu?
- 3.4 Sarufi: 3.4.3 Aina za Maneno: Viwakilishi vya Idadi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kueleza maana ya viwakilishi vya idadi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine | KIQ: Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha idadi ya vitu?
- 3.4 Sarufi: 3.4.4 Uakifishi Alama ya hisi (!) Ritifaa (ʼ) Koloni (:) (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua alama ya hisi, ritifaa na koloni katika maandishi | KIQ: Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi?
- 4.1 Kusikiliza na Kuzungumz a: 4.1.1 Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Heshima (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua maneno ya heshima yanayotumiwa katika mawasiliano | KIQ: Ni maneno yapi ya heshima unayoyajua na unayoweza kutumia kurejelea watu tofauti?
- 4.2 Kusoma: 4.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini ya Kidijitali (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali anaposoma | KIQ: Kusoma matini ya kidijitali kuna manufaa gani?
- 4.3 Kuandika: 4.3.1 Aina za Insha: Barua Rasmi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua barua rasmi kwa kuzingatia muundo wake | KIQ: Barua rasmi ni gani?
- 4.4 Sarufi: 4.4 Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya YA-YA (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua nomino za ngeli ya YA-YA katika matini mbalimbali ili kuzibainisha | KIQ: Je, unajua majina gani ya vitu visivyohesabika?
- 4.4 Sarufi: 4.4.2 Umoja na Wingi wa Sentensi: Ngeli ya YA-YA (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya YA-YA kwenye sentensi | KIQ: Je, unajua majina gani ya vitu ambayo hayabadiliki katika umoja na wingi?
- 5.1 Kusikiliza na Kuzungumza: 5.1.1 Methali: Methali Zinazohusu Umoja na Ushirikiano (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua methali zinazohusu umoja na ushirikiano katika matini | KIQ: Je, ni nini umuhimu wa methali katika jamii?
- 5.2 Kusoma: 5.2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Lugha katika Ushairi (3 lessons × 35 min template) — Outcome: kujadili dhana za ukwapi na utao katika shairi ili kuzibainisha | KIQ: Je, kuna tofauti gani kati ya mashairi mbalimbali?
- 5.3 Kuandika: 5.3.1 Kuandika Insha: Insha za Maelezo (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua insha za maelezo katika matini mbalimbali | KIQ: Insha ya maelezo ina sifa gani?
- 5.4 Sarufi: 5.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-U (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua nomino katika ngeli ya U-U katika matini mbalimbali ili kuzibainisha | KIQ: Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya U-U?
- 5.4 Sarufi: 5.4.2 Umoja na Wingi wa Sentensi: Ngeli ya U-U (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya U-U kwenye sentensi | KIQ: Je, unakumbuka nomino zipi ambazo zinaanza kwa herufi U katika umoja?
- 6.1 Kusikiliza na Kuzungumz a: 6.1.1 Matamshi Bora (Ushairi Sauti lengwa: -d/nd -ch/sh -j/nj -g/ng) (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kukariri au kuimba shairi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi ya maneno yenye sauti lengwa na mahadhi mbalimbali ili kukuza matamshi bora | KIQ: Kwa nini kusoma na kukariri mashairi ni muhimu?
- 6.3 Kuandika: 6.3.1 Kuandika Insha: Insha za Wasifu (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua vipengele vya kimuundo vya insha za wasifu ili kuibainisha | KIQ: Insha ya wasifu ina sifa gani?
- 6.4 Sarufi: 6.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya I-I (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua nomino katika ngeli ya I-I katika matini mbalimbali ili kuzibainisha | KIQ: Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?
- 6.4 Sarufi: 6.4.2 Umoja na Wingi wa Sentensi: Ngeli ya I-I (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-I kwenye sentensi | KIQ: Je, nomino za ngeli ya I-I huchukua viambishi gani katika sentensi?
- 7.1 Kusikiliza na Kuzungumza: 7.1.1 Nahau: Nahau za Kazi na Ushirikiano (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika matini mbalimbali | KIQ: Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali?
- 7.2 Kusoma: 7.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini (3 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba | KIQ: Unapenda kusoma matini ya aina gani?
- 7.3 Kuandika: 7.3.1 Kuandika Insha: Insha za Maelezo (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kujadili maudhui ya insha ya maelezo ili kukuza ubunifu | KIQ: Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?
- 7.4 Sarufi: 7.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino na Sentensi: Ngeli ya PA-KU-MU (Kipindi 1) (1 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU ili kuzibainisha | KIQ: Nonimo za ngeli ya PA-KU-MU ni gani?
- 8.1 Kusikiliza na Kuzungumza: 8.1 Visawe vya Maneno Zaidi ya Matatu (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno | KIQ: Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
- 8.2 Kusoma: 8.2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza (3 lessons × 35 min template) — Outcome: kujadili sifa za mchezo wa kuigiza ili kuzibainisha | KIQ: Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?
- 8.3 Kuandika: 8.3.1 Kuandika Insha: Insha za Masimulizi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kujadili mtiririko wa hoja katika insha ya masimulizi | KIQ: Ni nini unachoweza kufanya ili uwe mwandishi bora wa insha?
- 8.4 Sarufi: 8.4.1 Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeana, Kutendesha, Kutendua (3 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua vitenzi katika hali ya kutendeana, kutendesha, kutendua katika matini | KIQ: Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?
- 9.1 Kusikiliza na Kuzungumza: 9.1.1 Mazungumzo ya Kimuktadha: Mazungumzo katika miktadha rasmi na isiyo rasmi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua miktadha rasmi na isiyo rasmi katika mawasiliano ili kuitofautisha | KIQ: Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi na isiyo rasmi?
- 9.2 Kusoma: 9.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini (3 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua aina mbalimbali za matini ili kuchagua inayomvutia | KIQ: Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi na isiyo rasmi?
- 9.3 Kuandika: 9.3.1 Kuandika Insha: Insha za Maelezo (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kueleza maudhui ya insha ya maelezo kwa kuzingatia mada | KIQ: Je, ni mada gani inayoweza kuandikiwa insha za maelezo?
- 9.4 Sarufi: 9.4.1 Vinyume vya Vivumishi (2 lessons × 35 min template) — Outcome: kutambua vinyume vya vivumishi katika matini | KIQ: Je, ni vivumishi vipi unavyoweza kutambua vinyume vyake?
Frequently Asked Questions
Are the learning outcomes and activities on this Grade 6 Kiswahili lesson plan verified from KICD?
Yes. Specific Learning Outcomes, Learning Experiences, Key Inquiry Questions, Learning Resources, and Assessment Methods come from verified KICD design KICD-UP-G6-KIS-2024. However, the 35-minute period length and the 5-minute introduction / developmental steps / 5-minute conclusion breakdown are an ElimuKit classroom-planning template rather than an official KICD minute requirement.