Grade 6 Kiswahili Schemes of Work (2026 CBC/CBE)
Explore 9 themes (34 thematic strand sections), 44 sub-strands, and 94 prescribed lessons for Grade 6 Kiswahili. Preview Weeks 1–3 online free without signing up, unlock the complete selected-term editable Word (.docx) scheme (up to 12 weeks) for KSh 50, or explore Term 1–3 and 35-minute lesson plan templates.
Sample 10-Column Grade 6 Kiswahili Scheme Rows (Week 1–2)
Generated strictly from KICD Grade 6 Kiswahili records. Column 10 (Reflection) stays blank during planning.
| Wiki | Kipindi | Mada | Kijisehemu cha mada | Matokeo Maalum ya Kujifunza | Shughuli za Kujifunza | Maswali Dadisi | Nyenzo | Tathmini | Maoni |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 1.1.1 Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi Sauti: d/nd ch/sh j/nj g/ng | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno | atambue silabi za sauti, d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng (k.v. doa/ndoa, choka/shoka, jaa/njaa, goma/ngoma) kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidigitali | Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 2 | 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 1.1.1 Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi Sauti: d/nd ch/sh j/nj g/ng | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi | asikilize silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidigitali (k.v. kinasasauti) | Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 3 | 1.3 Kuandika | 1.3.1 Kuandika Insha: Insha ya Wasifu | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu | asome vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi huku akitambua maudhui | Je, insha nzuri ya wasifu ina muundo gani? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 4 | 1.3 Kuandika | 1.3.1 Kuandika Insha: Insha ya Wasifu | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri | ashirikiane na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu | Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 2 | 1 | 1.4 Sarufi | 1.4.1 Aina za Maneno: Vivumishi vya Sifa | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno | aeleze maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu au watu katika mazingira yake (k.m.: Mwalimu mzuri, njia ndefu, kijiko kichafu) | Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 2 | 2 | 1.4 Sarufi | 1.4.1 Aina za Maneno: Vivumishi vya Sifa | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha | atambue vivumishi vya sifa (k.v. – zuri, -baya, -refu, -fupi, -ekundu, hodari) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi | Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika |
Prescribed Strands & Sub-strands (44 Sub-strands · 94 Lessons)
| Strand | Sub-strand | Official Lessons |
|---|---|---|
| 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 1.1.1 Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi Sauti: d/nd ch/sh j/nj g/ng | 4 |
| 1.3 Kuandika | 1.3.1 Kuandika Insha: Insha ya Wasifu | 2 |
| 1.4 Sarufi | 1.4.1 Aina za Maneno: Vivumishi vya Sifa | 2 |
| 1.4.2 Aina za Maneno: Vivumishi Viashiria | 2 | |
| 1.4.3 Aina za Maneno: Vivumishi Vimilikishi | 2 | |
| 2.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 2.1.1 Maamkuzi na Maagano | 2 |
| 2.2 Kusoma | 2.2.1 Kusoma kwa Kina: Matumizi ya Kamusi | 2 |
| 2.3 Kuandika | 2.3.1 Kuandika Insha: Insha za Masimulizi | 2 |
| 2.4 Sarufi | 2.4.1 Aina za Maneno: Vivumishi vya Idadi | 2 |
| 2.4.2 Aina za Maneno: Vivumishi Viulizi | 2 | |
| 2.4.3 Aina za Maneno: Kivumishi Kirejeshi (amba-) | 2 | |
| 3.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 3.1.1 Matamshi Bora: Vitendawili Sauti: -d/nd -ch/sh -j/nj -g/ng | 2 |
| 3.2 Kusoma | 3.2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Hadithi | 2 |
| 3.3 Kuandika | 3.3.1 Kuandika kwa Kutumia Tarakilishi | 2 |
| 3.4 Sarufi | 3.4.1 Aina za Maneno: Viwakilishi vya Nafsi | 2 |
| 3.4.2 Aina za Maneno: Viwakilishi Viashiria | 2 | |
| 3.4.3 Aina za Maneno: Viwakilishi vya Idadi | 2 | |
| 3.4.4 Uakifishi Alama ya hisi (!) Ritifaa (ʼ) Koloni (:) | 2 | |
| 4.1 Kusikiliza na Kuzungumz a | 4.1.1 Heshima, Adabu na Vyeo: Maneno ya Heshima | 2 |
| 4.2 Kusoma | 4.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini ya Kidijitali | 2 |
| 4.3 Kuandika | 4.3.1 Aina za Insha: Barua Rasmi | 2 |
| 4.4 Sarufi | 4.4 Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya YA-YA | 2 |
| 4.4.2 Umoja na Wingi wa Sentensi: Ngeli ya YA-YA | 2 | |
| 5.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 5.1.1 Methali: Methali Zinazohusu Umoja na Ushirikiano | 2 |
| 5.2 Kusoma | 5.2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Lugha katika Ushairi | 3 |
| 5.3 Kuandika | 5.3.1 Kuandika Insha: Insha za Maelezo | 2 |
| 5.4 Sarufi | 5.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-U | 2 |
| 5.4.2 Umoja na Wingi wa Sentensi: Ngeli ya U-U | 2 | |
| 6.1 Kusikiliza na Kuzungumz a | 6.1.1 Matamshi Bora (Ushairi Sauti lengwa: -d/nd -ch/sh -j/nj -g/ng) | 2 |
| 6.3 Kuandika | 6.3.1 Kuandika Insha: Insha za Wasifu | 2 |
| 6.4 Sarufi | 6.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya I-I | 2 |
| 6.4.2 Umoja na Wingi wa Sentensi: Ngeli ya I-I | 2 | |
| 7.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 7.1.1 Nahau: Nahau za Kazi na Ushirikiano | 2 |
| 7.2 Kusoma | 7.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini | 3 |
| 7.3 Kuandika | 7.3.1 Kuandika Insha: Insha za Maelezo | 2 |
| 7.4 Sarufi | 7.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino na Sentensi: Ngeli ya PA-KU-MU (Kipindi 1) | 1 |
| 8.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 8.1 Visawe vya Maneno Zaidi ya Matatu | 2 |
| 8.2 Kusoma | 8.2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza | 3 |
| 8.3 Kuandika | 8.3.1 Kuandika Insha: Insha za Masimulizi | 2 |
| 8.4 Sarufi | 8.4.1 Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeana, Kutendesha, Kutendua | 3 |
| 9.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 9.1.1 Mazungumzo ya Kimuktadha: Mazungumzo katika miktadha rasmi na isiyo rasmi | 2 |
| 9.2 Kusoma | 9.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini | 3 |
| 9.3 Kuandika | 9.3.1 Kuandika Insha: Insha za Maelezo | 2 |
| 9.4 Sarufi | 9.4.1 Vinyume vya Vivumishi | 2 |
Key KICD Outcomes, Learning Experiences, Resources & Assessment
Sample Specific Learning Outcomes
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na silabi za sauti lengwa ili kukuza ubunifu vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
Key Inquiry Questions (KIQ)
- "Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?"
- "Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?"
- "Je, insha nzuri ya wasifu ina muundo gani?"
- "Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?"
Recommended Learning Resources
Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa; Chati za mazungumzo na maamkizi; Diwani za fasihi simulizi na hadithi; Chati za ukutani na picha za ufundishaji; Kadi za maneno na miongozo ya kazi za vikundi; Vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi; Mazoezi ya sarufi kwenye chati za ukutani; Kitabu cha Mwanafunzi cha Kiswahili (Gredi ya 6); Vifaa vya uigizaji na kadi za mazungumzo; Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Jedwali la uundaji sentensi, kapu maneno na kadi za maneno; Chati za viakifishi na uandishi bora; Madaftari ya kuandikia na orodha hakiki
Assessment Methods
Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika; Kazi mradi; Mkoba wa kazi; Tathmini ya wenza na binafsi
Standard 10-Column Contract
- 1. Week
- 2. Lesson
- 3. Strand
- 4. Sub-strand
- 5. Specific Learning Outcomes
- 6. Learning Experiences
- 7. Key Inquiry Questions
- 8. Learning Resources
- 9. Assessment
- 10. Reflection (Blank)
KICD Curriculum Source & Editorial Verification
Compiled directly from verified curriculum unit records matching KICD design KICD-UP-G6-KIS-2024. ElimuKit preserves official strand/sub-strand codes, lesson allocations, and Key Inquiry Questions without fabricated topics. Read verification methodology →
- GRADE-6-KISWAHILI.pdf (Printed pages 3–134) · 44 verified sub-strand units
More Grade 6 Schemes of Work
Kiswahili Across Other Grades
Frequently Asked Questions
How many themes, sub-strands, and lessons are in Grade 6 Kiswahili?
According to KICD design KICD-UP-G6-KIS-2024, Grade 6 Kiswahili covers 9 themes (34 thematic strand sections), 44 sub-strands, and 94 official lessons.
How can I view Term 1, Term 2, and Term 3 separately for Grade 6 Kiswahili?
Use the Term 1 (15 sub-strands), Term 2 (15 sub-strands), and Term 3 (14 sub-strands) buttons above or inspect Weeks 1–3 live in ElimuKit Preview.
Can I download an editable Word (.docx) scheme for Grade 6 Kiswahili?
Yes. Inspecting sample Weeks 1–3 online is free; unlocking the complete editable Word (.docx) scheme for your selected term (covering verified KICD lessons, up to 12 weeks) is a one-time KSh 50 M-Pesa fee.