Term 1 Planning Sequence 15 of 44 Sub-strands · 32 Lessons

Grade 6 Kiswahili Term 1 Schemes of Work

Suggested Term 1 teaching sequence for Grade 6 Kiswahili covering 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 1.3 Kuandika, 1.4 Sarufi, 2.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 2.2 Kusoma, 2.3 Kuandika, 2.4 Sarufi, 3.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 3.2 Kusoma, 3.3 Kuandika, 3.4 Sarufi. Official KICD designs provide the authoritative annual sequence and do not prescribe Term 1/2/3 assignments; ElimuKit sequentially partitions verified units across three terms for planning convenience.

Preview Term 1 Weeks 1–3 Free Full Subject Syllabus Kiswahili Lesson Plans
Term 1Switch to Term 2Switch to Term 3

Term 1 10-Column Sample Entries (Weeks 1–2)

Wiki Kipindi Mada Kijisehemu cha mada Matokeo Maalum ya Kujifunza Shughuli za Kujifunza Maswali Dadisi Nyenzo Tathmini Maoni
1 1 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza 1.1.1 Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi Sauti: d/nd ch/sh j/nj g/ng Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno atambue silabi za sauti, d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng (k.v. doa/ndoa, choka/shoka, jaa/njaa, goma/ngoma) kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidigitali Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 2 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza 1.1.1 Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi Sauti: d/nd ch/sh j/nj g/ng Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi asikilize silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kidigitali (k.v. kinasasauti) Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 3 1.3 Kuandika 1.3.1 Kuandika Insha: Insha ya Wasifu Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu asome vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi huku akitambua maudhui Je, insha nzuri ya wasifu ina muundo gani? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 4 1.3 Kuandika 1.3.1 Kuandika Insha: Insha ya Wasifu Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri ashirikiane na wenzake kujadili mada na muundo wa insha ya wasifu Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
2 1 1.4 Sarufi 1.4.1 Aina za Maneno: Vivumishi vya Sifa Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno aeleze maana ya vivumishi lengwa kwa kurejelea vitu au watu katika mazingira yake (k.m.: Mwalimu mzuri, njia ndefu, kijiko kichafu) Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
2 2 1.4 Sarufi 1.4.1 Aina za Maneno: Vivumishi vya Sifa Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha atambue vivumishi vya sifa (k.v. – zuri, -baya, -refu, -fupi, -ekundu, hodari) katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

Term 1 Sequentially Partitioned Sub-strands & Objectives

1.1 Kusikiliza na Kuzungumza · 4 Lessons

1.1.1 Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi Sauti: d/nd ch/sh j/nj g/ng

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno
  • kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi
  • kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha matamshi bora

Key Inquiry Questions: Je, unajua maneno gani yenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng? · Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi za sauti d/nd, ch/sh, j/nj na g/ng?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa; Chati za mazungumzo na maamkizi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

1.3 Kuandika · 2 Lessons

1.3.1 Kuandika Insha: Insha ya Wasifu

Specific Learning Outcomes:
  • kujadili maudhui ya insha ya wasifu kwa kuzingatia mada ili kukuza ubunifu
  • kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri
  • kuchangamkia utunzi wa insha ya wasifu ili kujenga ubunifu

Key Inquiry Questions: Je, insha nzuri ya wasifu ina muundo gani? · Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

1.4 Sarufi · 2 Lessons

1.4.1 Aina za Maneno: Vivumishi vya Sifa

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza maana ya vivumishi vya sifa ili kuvitofautisha na aina zingine za maneno
  • kutambua vivumishi vya sifa katika matini mbalimbali ili kuvibainisha
  • kutumia vivumishi vya sifa kutunga sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi

Key Inquiry: Ni maneno gani unayotumia kuelezea sifa za watu au kitu?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi; Mazoezi ya sarufi kwenye chati za ukutani

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

1.4 Sarufi · 2 Lessons

1.4.2 Aina za Maneno: Vivumishi Viashiria

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza maana ya vivumishi viashiria ipasavyo ili kuvibainisha
  • kutambua vivumishi viashiria katika matini mbalimbali
  • kutumia vivumishi viashiria katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi

Key Inquiry: Ni maneno gani unayoweza kutumia kuonyesha umbali wa mtu au kitu?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi; Mazoezi ya sarufi kwenye chati za ukutani

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

1.4 Sarufi · 2 Lessons

1.4.3 Aina za Maneno: Vivumishi Vimilikishi

Specific Learning Outcomes:
  • kuelezea maana ya vivumishi vimilikishi ili kuvitofautisha na aina zingine za vivumishi
  • kutambua vivumishi vimilikishi katika matini mbalimbali
  • kutumia vivumishi vimilikishi katika sentensi

Key Inquiry: Je, unajua maneno yapi yanayotumika kuonyesha kitu ni cha nani?

Learning Resources: Vifaa vya uigizaji na kadi za mazungumzo; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

2.1 Kusikiliza na Kuzungumza · 2 Lessons

2.1.1 Maamkuzi na Maagano

Specific Learning Outcomes:
  • kujadili umuhimu maamkuzi na maagano katika mawasiliano
  • kujadili maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali
  • kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano

Key Inquiry Questions: Kwa nini watu huamkuana? · Kuagana kuna umuhimu gani?

Learning Resources: Vifaa vya uigizaji na kadi za mazungumzo; Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

2.2 Kusoma · 2 Lessons

2.2.1 Kusoma kwa Kina: Matumizi ya Kamusi

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua maana, tahajia, ngeli na aina za maneno kwa kutumia kamusi
  • kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno mageni yaliyo katika matini aliyosoma ili kukuza msamiati wake
  • kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati na sarufi ya Kiswahili

Key Inquiry Questions: Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi? · Kwa nini tunatumia kamusi?

Learning Resources: Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Jedwali la uundaji sentensi, kapu maneno na kadi za maneno; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

2.3 Kuandika · 2 Lessons

2.3.1 Kuandika Insha: Insha za Masimulizi

Specific Learning Outcomes:
  • kubainisha vidokezo vya kutumia katika kuandika insha ya masimulizi
  • kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia mtindo na muundo wake
  • kuchangamkia utunzi wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu

Key Inquiry: Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

2.4 Sarufi · 2 Lessons

2.4.1 Aina za Maneno: Vivumishi vya Idadi

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza maana ya vivumishi vya idadi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi
  • kutambua vivumishi vya idadi katika matini
  • kutumia vivumishi vya idadi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi

Key Inquiry: Ni maneno gani unayotumia kutajia idadi ya vitu?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi; Mazoezi ya sarufi kwenye chati za ukutani

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

2.4 Sarufi · 2 Lessons

2.4.2 Aina za Maneno: Vivumishi Viulizi

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza maana ya vivumishi viulizi ili kuvitofautisha na aina nyingine za vivumishi
  • kutambua vivumishi viulizi katika matini
  • kutumia vivumishi viulizi katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi

Key Inquiry: Ni maneno gani unayotumia kuulizia swali?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi; Mazoezi ya sarufi kwenye chati za ukutani

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

2.4 Sarufi · 2 Lessons

2.4.3 Aina za Maneno: Kivumishi Kirejeshi (amba-)

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- ili kuyabainisha
  • kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika matini
  • kutumia kivumishi kirejeshi amba- katika sentensi au vifungu vya maneno kwa usahihi

Key Inquiry: Je, unakumbuka aina gani za vivumishi?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi; Mazoezi ya sarufi kwenye chati za ukutani

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

3.1 Kusikiliza na Kuzungumza · 2 Lessons

3.1.1 Matamshi Bora: Vitendawili Sauti: -d/nd -ch/sh -j/nj -g/ng

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuvibainisha
  • kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana kimatamshi katika vitendawili ili kuyatambulisha
  • kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kujenga matamshi bora

Key Inquiry: Je, kwa nini watu hutega na kutegua vitendawili?

Learning Resources: Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

3.2 Kusoma · 2 Lessons

3.2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Hadithi

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua msamiati wa mahusiano uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu
  • kueleza maana ya msamiati lengwa ili kuubainisha
  • kusoma kifungu kwa ufasaha ili kupata ujumbe

Key Inquiry: Kuna umuhimu gani kusoma kuhusu mahusiano?

Learning Resources: Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Jedwali la uundaji sentensi, kapu maneno na kadi za maneno; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

3.3 Kuandika · 2 Lessons

3.3.1 Kuandika kwa Kutumia Tarakilishi

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua aina mbalimbali za maandishi ya tarakilishi na ishara zinazotumiwa katika maandishi ya tarakilishi
  • kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia maandishi mbalimbali yaliyotofautishwa katika tarakilishi
  • kufurahia utumiaji wa tarakilishi katika kuandika

Key Inquiry: Je, unajua maandishi ya aina gani yanayotumika katika tarakilishi?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Chati za viakifishi na uandishi bora; Madaftari ya kuandikia na orodha hakiki

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

3.4 Sarufi · 2 Lessons

3.4.1 Aina za Maneno: Viwakilishi vya Nafsi

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi ili kuvitofautisha na viwakilishi vingine
  • kutambua viwakilishi vya nafsi katika matini mbalimbali
  • kutumia viwakilishi vya nafsi kwa usahihi katika sentensi

Key Inquiry: Je, ni maneno yapi yanayotumika kuwakilisha nafsi mbalimbali?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi; Mazoezi ya sarufi kwenye chati za ukutani

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

KICD Curriculum Source & Editorial Verification

Compiled directly from verified curriculum unit records matching KICD design KICD-UP-G6-KIS-2024. ElimuKit preserves official strand/sub-strand codes, lesson allocations, and Key Inquiry Questions without fabricated topics. Read verification methodology →

  • GRADE-6-KISWAHILI.pdf (Printed pages 3–49) · 15 verified sub-strand units

Frequently Asked Questions

What topics are covered in Grade 6 Kiswahili Term 1?

This suggested Term 1 sequence groups 15 of 44 verified KICD sub-strands (1.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 1.3 Kuandika, 1.4 Sarufi) totaling 32 lessons from the annual Grade 6 Kiswahili KICD design.

Is this Term 1 division an official KICD term allocation?

No. Official KICD curriculum designs provide the authoritative annual sequence and do not prescribe Term 1, Term 2, or Term 3 assignments (our verified curriculum dataset contains no official term field). ElimuKit sequentially partitions verified units across the three terms for planning convenience—making these term divisions practical planning suggestions rather than official KICD term allocations. You can adjust strand selections for Term 1 in the scheme generator.