Term 3 Planning Sequence 14 of 44 Sub-strands · 31 Lessons

Grade 6 Kiswahili Term 3 Schemes of Work

Suggested Term 3 teaching sequence for Grade 6 Kiswahili covering 6.4 Sarufi, 7.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 7.2 Kusoma, 7.3 Kuandika, 7.4 Sarufi, 8.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 8.2 Kusoma, 8.3 Kuandika, 8.4 Sarufi, 9.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 9.2 Kusoma, 9.3 Kuandika, 9.4 Sarufi. Official KICD designs provide the authoritative annual sequence and do not prescribe Term 1/2/3 assignments; ElimuKit sequentially partitions verified units across three terms for planning convenience.

Preview Term 3 Weeks 1–3 Free Full Subject Syllabus Kiswahili Lesson Plans
Switch to Term 1Switch to Term 2Term 3

Term 3 10-Column Sample Entries (Weeks 1–2)

Wiki Kipindi Mada Kijisehemu cha mada Matokeo Maalum ya Kujifunza Shughuli za Kujifunza Maswali Dadisi Nyenzo Tathmini Maoni
1 1 6.4 Sarufi 6.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya I-I Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua nomino katika ngeli ya I-I katika matini mbalimbali ili kuzibainisha atambue nomino katika ngeli ya I-I (k.v. chumvi, miwani na sukari, chai, kahawa, mirathi, asali, sharubati) kwenye kadi, mti wa maneno, tarakilishi au kapu la maneno Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Chati za viakifishi na uandishi bora Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 2 6.4 Sarufi 6.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya I-I Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kuandika nomino za ngeli ya I-I katika umoja na wingi atambue nomino katika ngeli ya I-I katika sentensi Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Chati za viakifishi na uandishi bora Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 3 6.4 Sarufi 6.4.2 Umoja na Wingi wa Sentensi: Ngeli ya I-I Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-I kwenye sentensi atambue viambishi vya ngeli ya I-I katika sentensi kwa kuvipigia mstari au kuvikoleza rangi katika tarakilishi Je, nomino za ngeli ya I-I huchukua viambishi gani katika sentensi? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 4 6.4 Sarufi 6.4.2 Umoja na Wingi wa Sentensi: Ngeli ya I-I Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi atumie nomino za ngeli ya I-I katika sentensi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika vikundi Je, nomino za ngeli ya I-I huchukua viambishi gani katika sentensi? Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
2 1 7.1 Kusikiliza na Kuzungumza 7.1.1 Nahau: Nahau za Kazi na Ushirikiano Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika matini mbalimbali atambue nahau za kazi na ushirikiano (k.v. chapa kazi, kunja jamvi, changa bia, sema kwa sauti moja, fanya itifaki) katika chati, michoro, picha, vikapu maneno, mti maneno, chati, kamusi na katika vyombo vya kidijitali Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali? Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
2 2 7.1 Kusikiliza na Kuzungumza 7.1.1 Nahau: Nahau za Kazi na Ushirikiano Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kujadili maana ya nahau mbalimbali za kazi na ushirikiano ili kuzitofautisha ashiriki katika kujadili na wenzake maana za nahau za kazi na ushirikiano kwa kutoa mifano Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali? Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

Term 3 Sequentially Partitioned Sub-strands & Objectives

6.4 Sarufi · 2 Lessons

6.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya I-I

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua nomino katika ngeli ya I-I katika matini mbalimbali ili kuzibainisha
  • kuandika nomino za ngeli ya I-I katika umoja na wingi
  • kuandika umoja na wingi wa mafungu ya maneno katika ngeli ya ngeli ya I-I

Key Inquiry: Je, ni nomino zipi hupatikana katika ngeli ya I-I?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Chati za viakifishi na uandishi bora; Madaftari ya kuandikia na orodha hakiki

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

6.4 Sarufi · 2 Lessons

6.4.2 Umoja na Wingi wa Sentensi: Ngeli ya I-I

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua viambishi vipatanishi vya ngeli ya I-I kwenye sentensi
  • kutunga sentensi akitumia nomino za ngeli ya I-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi
  • kufurahia matumizi ya ngeli ya I-I katika mawasiliano

Key Inquiry: Je, nomino za ngeli ya I-I huchukua viambishi gani katika sentensi?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi; Mazoezi ya sarufi kwenye chati za ukutani

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

7.1 Kusikiliza na Kuzungumza · 2 Lessons

7.1.1 Nahau: Nahau za Kazi na Ushirikiano

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua nahau za kazi na ushirikiano katika matini mbalimbali
  • kujadili maana ya nahau mbalimbali za kazi na ushirikiano ili kuzitofautisha
  • kutumia nahau za kazi na ushirikiano katika mawasiliano

Key Inquiry: Je, ni nahau zipi zinazohimiza watu kufanya mambo mbalimbali?

Learning Resources: Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

7.2 Kusoma · 3 Lessons

7.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba
  • kuchagua matini anazotaka kusoma kwenye maktaba
  • kusoma matini ili kufaidika na ujumbe na lugha inayotumiwa

Key Inquiry Questions: Unapenda kusoma matini ya aina gani? · Ni vipi unavyoweza kupata matini ya kusoma?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

7.3 Kuandika · 2 Lessons

7.3.1 Kuandika Insha: Insha za Maelezo

Specific Learning Outcomes:
  • kujadili maudhui ya insha ya maelezo ili kukuza ubunifu
  • kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia mada, mtiririko, sarufi, muundo na mtindo ufaao
  • kuchangamkia utungaji wa insha za maelezo ili kukuza hali ya kujiamini

Key Inquiry: Unazingatia nini unapoandika insha ya maelezo?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

7.4 Sarufi · 1 Lessons

7.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino na Sentensi: Ngeli ya PA-KU-MU (Kipindi 1)

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua nomino katika ngeli ya PA-KU-MU ili kuzibainisha
  • kuandika nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi
  • kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya PA-KU-MU katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi

Key Inquiry: Nonimo za ngeli ya PA-KU-MU ni gani?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Chati za viakifishi na uandishi bora; Madaftari ya kuandikia na orodha hakiki

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

8.1 Kusikiliza na Kuzungumza · 2 Lessons

8.1 Visawe vya Maneno Zaidi ya Matatu

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika kundi la maneno
  • kutumia visawe ifaavyo katika mawasiliano
  • kuthamini matumizi ya maneno zaidi ya matatu yenye maana sawa katika mawasiliano

Key Inquiry: Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?

Learning Resources: Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Jedwali la uundaji sentensi, kapu maneno na kadi za maneno; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi)

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

8.2 Kusoma · 3 Lessons

8.2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa Kuigiza

Specific Learning Outcomes:
  • kujadili sifa za mchezo wa kuigiza ili kuzibainisha
  • kusoma mchezo mfupi wa kuigiza kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe na msamiati wa suala lengwa
  • kuonyesha ufahamu wa mchezo wa kuigiza kwa kujibu maswali na kutoa muhtasari

Key Inquiry: Unajua maneno gani ya Kiswahili yaliyo na maana sawa?

Learning Resources: Vifaa vya uigizaji na kadi za mazungumzo; Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

8.3 Kuandika · 2 Lessons

8.3.1 Kuandika Insha: Insha za Masimulizi

Specific Learning Outcomes:
  • kujadili mtiririko wa hoja katika insha ya masimulizi
  • kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
  • kuchangamkia utunzi mzuri katika uandishi wa insha ya masimulizi

Key Inquiry: Ni nini unachoweza kufanya ili uwe mwandishi bora wa insha?

Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

8.4 Sarufi · 3 Lessons

8.4.1 Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeana, Kutendesha, Kutendua

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua vitenzi katika hali ya kutendeana, kutendesha, kutendua katika matini
  • kutumia vitenzi katika hali za kutendeana, kutendesha, kutendua ipasavyo katika sentensi
  • kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendeana, kutendesha, kutendua katika mawasiliano

Key Inquiry: Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?

Learning Resources: Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Jedwali la uundaji sentensi, kapu maneno na kadi za maneno; Chati za sarufi na miundo ya sentensi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

9.1 Kusikiliza na Kuzungumza · 2 Lessons

9.1.1 Mazungumzo ya Kimuktadha: Mazungumzo katika miktadha rasmi na isiyo rasmi

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua miktadha rasmi na isiyo rasmi katika mawasiliano ili kuitofautisha
  • kutumia lugha katika miktadha rasmi na isiyo rasmi ili kufanikisha mawasiliano
  • kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi na isiyo rasmi kuimarisha maadili yafaayo

Key Inquiry Questions: Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi na isiyo rasmi? · Ni nini kinachofanya mazungumzo yawe rasmi au yasiyo rasmi?

Learning Resources: Vifaa vya uigizaji na kadi za mazungumzo; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za ukutani na picha za ufundishaji; Kadi za maneno na miongozo ya kazi za vikundi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

9.2 Kusoma · 3 Lessons

9.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua aina mbalimbali za matini ili kuchagua inayomvutia
  • kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa
  • kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake

Key Inquiry Questions: Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi na isiyo rasmi? · Ni nini kinachofanya mazungumzo yawe rasmi au yasiyo rasmi?

Learning Resources: Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Makala na vifungu teule vya kusoma; Chati za ukutani na picha za ufundishaji

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

9.3 Kuandika · 2 Lessons

9.3.1 Kuandika Insha: Insha za Maelezo

Specific Learning Outcomes:
  • kueleza maudhui ya insha ya maelezo kwa kuzingatia mada
  • kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo ili kufanikisha mawasiliano
  • kuchangamkia utunzi mzuri wenye mapambo ya lugha

Key Inquiry: Je, ni mada gani inayoweza kuandikiwa insha za maelezo?

Learning Resources: Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

9.4 Sarufi · 2 Lessons

9.4.1 Vinyume vya Vivumishi

Specific Learning Outcomes:
  • kutambua vinyume vya vivumishi katika matini
  • kutunga sentensi kwa kutumia vinyume vya vivumishi
  • kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vivumishi katika mawasiliano ya kila siku

Key Inquiry: Je, ni vivumishi vipi unavyoweza kutambua vinyume vyake?

Learning Resources: Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Chati za viakifishi na uandishi bora; Madaftari ya kuandikia na orodha hakiki; Chati za sarufi na miundo ya sentensi

Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

KICD Curriculum Source & Editorial Verification

Compiled directly from verified curriculum unit records matching KICD design KICD-UP-G6-KIS-2024. ElimuKit preserves official strand/sub-strand codes, lesson allocations, and Key Inquiry Questions without fabricated topics. Read verification methodology →

  • GRADE-6-KISWAHILI.pdf (Printed pages 98–134) · 14 verified sub-strand units

Frequently Asked Questions

What topics are covered in Grade 6 Kiswahili Term 3?

This suggested Term 3 sequence groups 14 of 44 verified KICD sub-strands (6.4 Sarufi, 7.1 Kusikiliza na Kuzungumza, 7.2 Kusoma) totaling 31 lessons from the annual Grade 6 Kiswahili KICD design.

Is this Term 3 division an official KICD term allocation?

No. Official KICD curriculum designs provide the authoritative annual sequence and do not prescribe Term 1, Term 2, or Term 3 assignments (our verified curriculum dataset contains no official term field). ElimuKit sequentially partitions verified units across the three terms for planning convenience—making these term divisions practical planning suggestions rather than official KICD term allocations. You can adjust strand selections for Term 3 in the scheme generator.