Grade 5 Kiswahili Schemes of Work (2026 CBC/CBE)
Explore 11 themes (44 thematic strand sections), 54 sub-strands, and 118 prescribed lessons for Grade 5 Kiswahili. Preview Weeks 1–3 online free without signing up, unlock the complete selected-term editable Word (.docx) scheme (up to 12 weeks) for KSh 50, or explore Term 1–3 and 35-minute lesson plan templates.
Sample 10-Column Grade 5 Kiswahili Scheme Rows (Week 1–2)
Generated strictly from KICD Grade 5 Kiswahili records. Column 10 (Reflection) stays blank during planning.
| Wiki | Kipindi | Mada | Kijisehemu cha mada | Matokeo Maalum ya Kujifunza | Shughuli za Kujifunza | Maswali Dadisi | Nyenzo | Tathmini | Maoni |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 1.1.1 Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi -Sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno | atambue silabi za sauti lengwa kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia | Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokanganya kimatamshi? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 2 | 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 1.1.1 Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi -Sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi | asikilize silabi za sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh zikitamkwa na mwalimu, mgeni mwalikwa au kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia (k.v. kinasasauti) | Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi zinazokanganya kimatamshi? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 3 | 1.2 Kusoma | 1.2.1 Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha Hadithi | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu | atambue msamiati wa suala lengwa (k.v. vyakula, viungo vya kupikia, njia za kupika na vifaa vya kupikia) kwa kutumia kadi za maneno, chati, mti maneno au kifaa cha kidijitali | Kusoma kuhusu mapishi kuna umuhimu gani? | Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 4 | 1.2 Kusoma | 1.2.1 Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha Hadithi | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi | ashiriki katika vikundi kujadili na kutumia msamiati wa suala lengwa katika sentensi | Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi? | Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 2 | 1 | 1.3 Kuandika | 1.3.1 Kuandika: Insha ya wasifu | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua insha ya wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake | atambue insha ya wasifu kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi | Insha ya wasifu ni gani? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 2 | 2 | 1.3 Kuandika | 1.3.1 Kuandika: Insha ya wasifu | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri | asome vielelezo vya insha ya wasifu vilivyoandikwa katika matini mbalimbali au tarakilishi | Unazingatia nini unapoandika insha ya wasifu? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika |
Prescribed Strands & Sub-strands (54 Sub-strands · 118 Lessons)
| Strand | Sub-strand | Official Lessons |
|---|---|---|
| 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 1.1.1 Matamshi Bora: Silabi na Vitanzandimi -Sauti f/v, s/z, l/r/ na th/dh | 4 |
| 1.2 Kusoma | 1.2.1 Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha Hadithi | 2 |
| 1.3 Kuandika | 1.3.1 Kuandika: Insha ya wasifu | 2 |
| 1.4 Sarufi | 1.4.1 Viwakilishi | 2 |
| 1.4.2 Aina za Nomino: Nomino za kawaida | 2 | |
| 2.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 2.1.1 Maamkuzi na Maagano | 2 |
| 2.2 Kusoma | 2.2.1 Kusoma kwa Kina: Matumizi ya Kamusi | 2 |
| 2.3 Kuandika | 2.3.1 Kuandika Insha: Insha za masimulizi | 2 |
| 2.4 Sarufi | 2.4.1 Aina za Nomino: Nomino za wingi | 2 |
| 2.4.2 Aina za Nomino: Nomino za vitenzi-jina | 2 | |
| 3.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 3.1.1 Vitendawili | 2 |
| 3.2 Kusoma | 3.2.1 Kusoma kwa ufahamu: Kifungu cha hadithi | 2 |
| 3.3 Kuandika | 3.3.1 Kuandika kwa Tarakilishi: Uchapaji | 2 |
| 3.4 Sarufi | 3.4.1 Aina za Nomino: Nomino za Makundi | 2 |
| 3.4.2 Aina za Nomino: Nomino Ambata | 2 | |
| 3.4.3 Aina za Nomino: Nomino za dhahania | 2 | |
| 3.4.4 Uakifishi: -Herufi kubwa -koma (,) -kikomo (.) -kiulizi (?) | 4 | |
| 4.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 4.1.1 Heshima, adabu na vyeo: Maneno ya Heshima | 2 |
| 4.2 Kusoma | 4.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini ya kidijitali | 2 |
| 4.3 Kuandika | 4.3.1 Aina za Insha: Baruapepe | 2 |
| 4.4 Sarufi | 4.4.1 Umoja na wingi wa nomino: Ngeli I-ZI | 2 |
| 4.4.2 Umoja na wingi wa sentensi: katika ngeli ya I-ZI | 2 | |
| 5.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 5.1.1 Methali: Methali zinazohusu bidii | 2 |
| 5.2 Kusoma | 5.2.1 Kusoma kwa ufahamu: Lugha katika ushairi | 2 |
| 5.3 Kuandika | 5.3.1 Insha ya Maelezo | 2 |
| 5.4 Sarufi | 5.4.1 Umoja na Wingi wa Nomino: Ngeli ya U-ZI | 2 |
| 5.4.2 Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya U-ZI | 2 | |
| 6.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 6.1.1 Matamshi Bora: Ushairi | 2 |
| 6.2 Kusoma | 6.2.1 Kusoma kwa Mapana: Makala | 2 |
| 6.3 Kuandika | 6.3.1 Kuandika Insha: Insha za Wasifu | 2 |
| 6.4 Sarufi | 6.4.2 Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya U-YA | 2 |
| 7.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 7.1.1 Nahau: Nahau za usafi na mazingira | 2 |
| 7.2 Kusoma | 7.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini | 3 |
| 7.3 Kuandika | 7.3.1 Kuandika insha: Insha ya Maelezo | 2 |
| 7.4 Sarufi | 7.4.1 Umoja na wingi wa nomino: Ngeli ya KU-KU | 2 |
| 7.4.2 Umoja na wingi wa sentensi: Ngeli ya KU-KU | 2 | |
| 8.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 8.1.1 Visawe: Visawe vya maneno matatu | 2 |
| 8.2 Kusoma | 8.2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Mchezo wa kuigiza | 3 |
| 8.3 Kuandika | 8.3.1 Kuandika insha: Insha za masimulizi | 2 |
| 8.4 Sarufi | 8.4.1 Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana | 3 |
| 9.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 9.1.1 Mazungumzo ya Kimuktadha: Mazungumzo katika miktadha rasmi | 2 |
| 9.2 Kusoma | 9.2.1 Kusoma kwa Mapana: Matini | 3 |
| 9.3 Kuandika | 9.3.1 Insha za Maelezo | 2 |
| 9.4 Sarufi | 9.4.1 Vinyume: Vinyume vya Vitenzi | 2 |
| 10.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 10.1.1 Tashbihi: Tashbihi za tabia | 2 |
| 10.2 Kusoma | 10.2.1 Kusoma Mapana: Matini ya Kidijitali | 2 |
| 10.3 Kuandika | 10.3.1 Aina za Insha: Insha ya masimulizi | 2 |
| 10.4 Sarufi | 10.4.1 Nyakati na Hali -Hali ya Mazoea -Hali Timilifu | 3 |
| 11.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 11.1.1 Kutoa Masimulizi | 2 |
| 11.2 Kusoma | 11.2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha hadithi | 2 |
| 11.3 Kuandika | 11.3.1 Kuandika Insha: Baruapepe | 2 |
| 11.4 Sarufi | 11.4.1 Ukanushaji wa maneno na sentensi: Viambishi vya nafsi na wakati katika sentensi | 3 |
| 11.4.2 Ukubwa na udogo wa nomino: Nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi mbili | 2 | |
| 11.4.3 Ukubwa na udogo wa nomino: Ukubwa na udogo wa nomino zinazoanza kwa kwa herufi n | 2 |
Key KICD Outcomes, Learning Experiences, Resources & Assessment
Sample Specific Learning Outcomes
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi ili kuimarisha mawasiliano
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kuunda vitanzandimi vyenye maana kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi
Key Inquiry Questions (KIQ)
- "Je, unajua maneno gani yenye silabi zinazokanganya kimatamshi?"
- "Je, Unajua vitanzandimi gani vyenye silabi zinazokanganya kimatamshi?"
- "Kusoma kuhusu mapishi kuna umuhimu gani?"
- "Ni hadithi gani umewahi kuisoma kuhusu mapishi?"
Recommended Learning Resources
Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa; Chati za mazungumzo na maamkizi; Diwani za fasihi simulizi na hadithi; Chati za ukutani na picha za ufundishaji; Kadi za maneno na miongozo ya kazi za vikundi; Vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Jedwali la uundaji sentensi, kapu maneno na kadi za maneno; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Makala na vifungu teule vya kusoma; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Mazoezi ya sarufi kwenye chati za ukutani; Kitabu cha Mwanafunzi cha Kiswahili (Gredi ya 5); Vifaa vya uigizaji na kadi za mazungumzo; Chati za viakifishi na uandishi bora
Assessment Methods
Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika; Kazi mradi; Mkoba wa kazi; Tathmini ya wenza na binafsi
Standard 10-Column Contract
- 1. Week
- 2. Lesson
- 3. Strand
- 4. Sub-strand
- 5. Specific Learning Outcomes
- 6. Learning Experiences
- 7. Key Inquiry Questions
- 8. Learning Resources
- 9. Assessment
- 10. Reflection (Blank)
KICD Curriculum Source & Editorial Verification
Compiled directly from verified curriculum unit records matching KICD design KICD-UP-G5-KIS-2024. ElimuKit preserves official strand/sub-strand codes, lesson allocations, and Key Inquiry Questions without fabricated topics. Read verification methodology →
- GRADE-5-KISWAHILI.pdf (Printed pages 3–107) · 54 verified sub-strand units
More Grade 5 Schemes of Work
Kiswahili Across Other Grades
Frequently Asked Questions
How many themes, sub-strands, and lessons are in Grade 5 Kiswahili?
According to KICD design KICD-UP-G5-KIS-2024, Grade 5 Kiswahili covers 11 themes (44 thematic strand sections), 54 sub-strands, and 118 official lessons.
How can I view Term 1, Term 2, and Term 3 separately for Grade 5 Kiswahili?
Use the Term 1 (18 sub-strands), Term 2 (18 sub-strands), and Term 3 (18 sub-strands) buttons above or inspect Weeks 1–3 live in ElimuKit Preview.
Can I download an editable Word (.docx) scheme for Grade 5 Kiswahili?
Yes. Inspecting sample Weeks 1–3 online is free; unlocking the complete editable Word (.docx) scheme for your selected term (covering verified KICD lessons, up to 12 weeks) is a one-time KSh 50 M-Pesa fee.