Grade 12 Senior School (SSS) Design: KICD-SS-Grade12-FAS

Grade 12 Fasihi ya Kiswahili Schemes of Work (2026 CBC/CBE)

Explore 10 themes (30 thematic strand sections), 30 sub-strands, and 150 prescribed lessons for Grade 12 Fasihi ya Kiswahili. Preview Weeks 1–3 online free without signing up, unlock the complete selected-term editable Word (.docx) scheme (up to 12 weeks) for KSh 50, or explore Term 1–3 and 45-minute lesson plan templates.

Preview Weeks 1–3 Free Customize & Generate Scheme 45-Min Lesson Plans
Browse by Term: Term 1 (10 Units) Term 2 (10 Units) Term 3 (10 Units) Grade 12 Notes

Sample 10-Column Grade 12 Fasihi ya Kiswahili Scheme Rows (Week 1–2)

Generated strictly from KICD Grade 12 Fasihi ya Kiswahili records. Column 10 (Reflection) stays blank during planning.

Wiki Kipindi Mada Kijisehemu cha mada Matokeo Maalum ya Kujifunza Shughuli za Kujifunza Maswali Dadisi Nyenzo Tathmini Maoni
1 1 1.1 Fasihi Simulizi 1.1.1 Utangulizi wa Fasihi Simulizi Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kujadili mwingiliano wa fasihi simulizi na fasihi andishi katika tanzu mbalimbali kufafanua jinsi fasihi simulizi inavyochangia fasihi andishi Tanzu mbalimbali za fasihi simulizi zina uhusiano gani? Chati za ukutani na picha za ufundishaji; Kadi za maneno na miongozo ya kazi za vikundi; Vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 2 1.1 Fasihi Simulizi 1.1.1 Utangulizi wa Fasihi Simulizi Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kufafanua mwingiliano wa tanzu za fasihi simulizi ili kuubainisha kujadili na wenzake mifano ya matumizi ya vipera vya fasihi simulizi katika matini za fasihi andishi Je, fasihi simulizi inajidhihirisha vipi katika jamii ya sasa? Chati za ukutani na picha za ufundishaji; Kadi za maneno na miongozo ya kazi za vikundi; Vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 3 1.2 Ushairi 1.2.1 Uainishaji wa Mashairi kwa Kuzingatia Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kueleza dhana ya uainishaji wa mashairi kimaudhui kutafiti mtandaoni au maktabani kuhusu dhana ya uainishaji wa mashairi kimaudhui Mashairi uliyowahi kusoma yaliangazia masuala gani? Chati za nyimbo, mashairi na vinasa sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi) Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
1 4 1.2 Ushairi 1.2.1 Uainishaji wa Mashairi kwa Kuzingatia Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua maudhui katika mashairi mbalimbali kujadili na mwenzake matokeo ya utafiti wake Mashairi uliyowahi kusoma yaliangazia masuala gani? Chati za nyimbo, mashairi na vinasa sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi) Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
2 1 1.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 1.3.1 Bunilizi Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kueleza uhusiano kati ya kazi za bunilizi na historia katika fasihi kutafiti maktabani au kusakura mtandaoni kuhusu uhusiano kati ya kazi ya bunilizi na historia Utamaduni na historia ya jamii hudhihirika vipi katika bunilizi? Chati za ukutani na picha za ufundishaji; Kadi za maneno na miongozo ya kazi za vikundi; Vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
2 2 1.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 1.3.1 Bunilizi Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kupambanua nafasi ya bunilizi katika historia kujadili na wenzake utafiti wake kuhusu uhusiano wa bunilizi na historia Utamaduni na historia ya jamii hudhihirika vipi katika bunilizi? Chati za ukutani na picha za ufundishaji; Kadi za maneno na miongozo ya kazi za vikundi; Vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika

Prescribed Strands & Sub-strands (30 Sub-strands · 150 Lessons)

StrandSub-strandOfficial Lessons
1.1 Fasihi Simulizi 1.1.1 Utangulizi wa Fasihi Simulizi 5
1.2 Ushairi 1.2.1 Uainishaji wa Mashairi kwa Kuzingatia 5
1.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 1.3.1 Bunilizi 5
2.1 Fasihi Simulizi 2.1.1 Uchanganuzi wa hadithi 5
2.2 Ushairi 2.2.1 Uainishaji wa mashairi kwa kuzingatia maudhui 5
2.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 2.3.1 Uchambuzi wa Tamthilia 5
3.1 Fasihi Simulizi 3.1.1 Uchanganuzi wa semi 5
3.2 Ushairi 3.2.1 Uchambuzi wa mashairi 5
3.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 3.3.1 Uchambuzi wa Tamthilia 5
4.1 Fasihi Simulizi 4.1.1 Ushairi simulizi nyimbo za kizalendo 5
4.2 Ushairi 4.2.1 Uchambuzi wa mashairi 5
4.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 4.3.1 Uchambuzi wa Riwaya 5
5.1 Fasihi Simulizi 5.1.1 Uchanganuzi wa mazungumzo 5
5.2 Ushairi 5.2.1 Uchambuzi wa mashairi 5
5.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 5.3.1 Uchambuzi wa Riwaya 5
6.1 Fasihi Simulizi 6.1.1 Uchanganuzi wa maigizo 5
6.2 Ushairi 6.2.1 Uchambuzi wa mashairi 5
6.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 6.3.1 Uchambuzi wa Wasifu 5
7.1 Fasihi Simulizi 7.1.1 Uchanganuzi wa hadithi 5
7.2 Ushairi 7.2.1 Uchambuzi wa Mashairi 5
7.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 7.3.1 Uchambuzi wa Wasifu 5
8.1 Fasihi Simulizi 8.1.1 Uchanganuzi wa semi 5
8.2 Ushairi 8.2.1 Uchambuzi wa mashairi 5
8.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 8.3.1 Uchambuzi wa Hadithi Fupi 5
9.1 Fasihi Simulizi 9.1.1 Uchanganuzi wa ushairi simulizi 5
9.2 Ushairi 9.2.1 Uchambuzi wa mashairi 5
9.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 9.3.1 Uchambuzi wa Hadithi Fupi 5
10.1 Fasihi Simulizi 10.1.1 Utafiti katika fasihi simulizi 5
10.2 Ushairi 10.2.1 Utunzi wa mashairi 5
10.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia 10.3.1 Utunzi wa Bunilizi na Kazi za Kihalisia 5

Key KICD Outcomes, Learning Experiences, Resources & Assessment

Sample Specific Learning Outcomes

  • Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kujadili mwingiliano wa fasihi simulizi na fasihi andishi katika tanzu mbalimbali
  • Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kufafanua mwingiliano wa tanzu za fasihi simulizi ili kuubainisha
  • Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kuhakiki mustakabali wa fasihi simulizi katika jamii ya sasa
  • Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kufurahia kujifunza fasihi simulizi kama utanzu wa fasihi

Key Inquiry Questions (KIQ)

  • "Tanzu mbalimbali za fasihi simulizi zina uhusiano gani?"
  • "Je, fasihi simulizi inajidhihirisha vipi katika jamii ya sasa?"
  • "Mashairi uliyowahi kusoma yaliangazia masuala gani?"
  • "Utamaduni na historia ya jamii hudhihirika vipi katika bunilizi?"

Recommended Learning Resources

Chati za ukutani na picha za ufundishaji; Kadi za maneno na miongozo ya kazi za vikundi; Vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Kitabu cha Mwanafunzi cha Fasihi ya Kiswahili (Gredi ya 12); Mwongozo wa Mwalimu wa Fasihi ya Kiswahili ulioidhinishwa na KICD; Chati za nyimbo, mashairi na vinasa sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma; Chati za viakifishi na uandishi bora; Madaftari ya kuandikia na orodha hakiki; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa; Chati za mazungumzo na maamkizi; Diwani za fasihi simulizi na hadithi; Vifaa vya uigizaji na kadi za mazungumzo; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi

Assessment Methods

Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika; Kazi mradi; Mkoba wa kazi; Tathmini ya wenza na binafsi

Standard 10-Column Contract

  1. 1. Week
  2. 2. Lesson
  3. 3. Strand
  4. 4. Sub-strand
  5. 5. Specific Learning Outcomes
  6. 6. Learning Experiences
  7. 7. Key Inquiry Questions
  8. 8. Learning Resources
  9. 9. Assessment
  10. 10. Reflection (Blank)

KICD Curriculum Source & Editorial Verification

Compiled directly from verified curriculum unit records matching KICD design KICD-SS-Grade12-FAS. ElimuKit preserves official strand/sub-strand codes, lesson allocations, and Key Inquiry Questions without fabricated topics. Read verification methodology →

  • Fasihi_ya_Kiswahili_Grade_12-_Jan_2026_Peer_reviewed(10).pdf (Printed pages 1–70) · 30 verified sub-strand units

More Grade 12 Schemes of Work

AgricultureComputer StudiesHome ScienceICTFine ArtsMusic & Dance

Fasihi ya Kiswahili Across Other Grades

Grade 10 Fasihi ya KiswahiliGrade 11 Fasihi ya Kiswahili

Frequently Asked Questions

How many themes, sub-strands, and lessons are in Grade 12 Fasihi ya Kiswahili?

According to KICD design KICD-SS-Grade12-FAS, Grade 12 Fasihi ya Kiswahili covers 10 themes (30 thematic strand sections), 30 sub-strands, and 150 official lessons.

How can I view Term 1, Term 2, and Term 3 separately for Grade 12 Fasihi ya Kiswahili?

Use the Term 1 (10 sub-strands), Term 2 (10 sub-strands), and Term 3 (10 sub-strands) buttons above or inspect Weeks 1–3 live in ElimuKit Preview.

Can I download an editable Word (.docx) scheme for Grade 12 Fasihi ya Kiswahili?

Yes. Inspecting sample Weeks 1–3 online is free; unlocking the complete editable Word (.docx) scheme for your selected term (covering verified KICD lessons, up to 12 weeks) is a one-time KSh 50 M-Pesa fee.