Grade 12 Fasihi ya Kiswahili Term 2 Schemes of Work
Suggested Term 2 teaching sequence for Grade 12 Fasihi ya Kiswahili covering 4.2 Ushairi, 4.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia, 5.1 Fasihi Simulizi, 5.2 Ushairi, 5.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia, 6.1 Fasihi Simulizi, 6.2 Ushairi, 6.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia, 7.1 Fasihi Simulizi, 7.2 Ushairi. Official KICD designs provide the authoritative annual sequence and do not prescribe Term 1/2/3 assignments; ElimuKit sequentially partitions verified units across three terms for planning convenience.
Term 2 10-Column Sample Entries (Weeks 1–2)
| Wiki | Kipindi | Mada | Kijisehemu cha mada | Matokeo Maalum ya Kujifunza | Shughuli za Kujifunza | Maswali Dadisi | Nyenzo | Tathmini | Maoni |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | 4.2 Ushairi | 4.2.1 Uchambuzi wa mashairi | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua maudhui na dhamira katika mashairi | kusoma mashairi katika diwani teule au kuyaghani kwa kuzingatia mahadhi yafaayo | Masuala makuu yanayoshughuliki wa katika mashairi huwa na uhusiano gani na malengo ya mtunzi? | Chati za nyimbo, mashairi na vinasa sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 2 | 4.2 Ushairi | 4.2.1 Uchambuzi wa mashairi | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kuchambua maudhui na dhamira katika mashairi mbalimbali kwenye diwani teule | kutambua maudhui katika mashairi aliyosoma kwenye diwani teule | Je, mwandishi wa mashairi huwa na malengo gani anapoandika kazi yake? | Chati za nyimbo, mashairi na vinasa sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 3 | 4.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia | 4.3.1 Uchambuzi wa Riwaya | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kueleza maana ya maudhui, dhamira na wahusika katika riwaya | kueleza maana ya maudhui, dhamira na wahusika katika riwaya | Msomaji huwezaje kupata ujumbe unaoshughulikiwa katika riwaya? | Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 4 | 4.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia | 4.3.1 Uchambuzi wa Riwaya | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua maudhui, dhamira na wahusika katika riwaya teule | kutambua maudhui katika riwaya teule | Kwa nini mwandishi hutunga riwaya? | Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 2 | 1 | 5.1 Fasihi Simulizi | 5.1.1 Uchanganuzi wa mazungumzo | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kueleza dhana za ulumbi, malumbano ya utani na soga ili kuzipambanua | kusakura mtandaoni maana ya ulumbi, malumbano ya utani na soga katika fasihi simulizi | Ni kwa njia gani ulumbi, malumbano ya utani, na soga huonyesha upekee katika uwasilishaji wao? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 2 | 2 | 5.1 Fasihi Simulizi | 5.1.1 Uchanganuzi wa mazungumzo | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua ulumbi, malumbano ya utani na soga katika matini | kusikiliza na kutazama ulumbi, malumbano ya utani na soga kutoka kwa mgeni mwalikwa au kifaa cha kidijitali | Ni kwa njia gani ulumbi, malumbano ya utani, na soga huonyesha upekee katika uwasilishaji wao? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika |
Term 2 Sequentially Partitioned Sub-strands & Objectives
4.2.1 Uchambuzi wa mashairi
- kutambua maudhui na dhamira katika mashairi
- kuchambua maudhui na dhamira katika mashairi mbalimbali kwenye diwani teule
- kulinganisha mashairi mbalimbali kwenye diwani teule kwa kuzingatia maudhui na dhamira
Key Inquiry Questions: Masuala makuu yanayoshughuliki wa katika mashairi huwa na uhusiano gani na malengo ya mtunzi? · Je, mwandishi wa mashairi huwa na malengo gani anapoandika kazi yake?
Learning Resources: Chati za nyimbo, mashairi na vinasa sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
4.3.1 Uchambuzi wa Riwaya
- kueleza maana ya maudhui, dhamira na wahusika katika riwaya
- kutambua maudhui, dhamira na wahusika katika riwaya teule
- kuchambua maudhui, dhamira na wahusika katika riwaya teule
Key Inquiry Questions: Msomaji huwezaje kupata ujumbe unaoshughulikiwa katika riwaya? · Kwa nini mwandishi hutunga riwaya?
Learning Resources: Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma; Chati za ukutani na picha za ufundishaji
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
5.1.1 Uchanganuzi wa mazungumzo
- kueleza dhana za ulumbi, malumbano ya utani na soga ili kuzipambanua
- kutambua ulumbi, malumbano ya utani na soga katika matini
- kujadili umuhimu wa ulumbi, malumbano ya utani na soga katika jamii
Key Inquiry: Ni kwa njia gani ulumbi, malumbano ya utani, na soga huonyesha upekee katika uwasilishaji wao?
Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa; Chati za mazungumzo na maamkizi
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
5.2.1 Uchambuzi wa mashairi
- kutambua mandhari katika mashairi
- kujadili umuhimu wa mandhari katika shairi
- kutambua wahusika katika shairi
Key Inquiry Questions: Ni aina gani za mandhari unazozijua kutokana na mashairi uliyowahi kusoma? · Unatambuaje wahusika katika shairi?
Learning Resources: Chati za nyimbo, mashairi na vinasa sauti; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
5.3.1 Uchambuzi wa Riwaya
- kueleza maana ya mandhari, muundo na mtindo katika riwaya
- kutambua mandhari, vipengele vya muundo na mtindo katika riwaya teule
- kuchambua mandhari, vipengele vya muundo na mtindo katika riwaya teule
Key Inquiry Questions: Je, ni mahali na wakati gani huweza kurejelewa katika matukio ya riwaya? · Ni nini hufanya riwaya kuvutia?
Learning Resources: Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma; Chati za ukutani na picha za ufundishaji
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
6.1.1 Uchanganuzi wa maigizo
- kueleza dhana za ngoma, ngomezi, miviga na matambiko ili kuzibainisha
- kuchanganua umuhimu wa ngoma, ngomezi, miviga na matambiko katika jamii
- kutathmini mustakabali wa ngoma, ngomezi, miviga na matambiko katika jamii
Key Inquiry: Je, ni sherehe zipi za kitamaduni zinazofanyika katika jamii yako?
Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Chati za ukutani na picha za ufundishaji; Kadi za maneno na miongozo ya kazi za vikundi; Vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
6.2.1 Uchambuzi wa mashairi
- kueleza vipengele vya muundo wa mashairi huru
- kutambua vipengele vya muundo wa mashairi huru katika mashairi mbalimbali kwenye diwani teule
- kuchambua kimuundo mashairi huru mbalimbali yaliyo katika diwani teule
Key Inquiry: Mashairi huru na mashairi ya arudhi huathiri vipi namna ujumbe unavyowasilishwa na kueleweka kwa msomaji au msikilizaji?
Learning Resources: Chati za nyimbo, mashairi na vinasa sauti; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
6.3.1 Uchambuzi wa Wasifu
- kueleza maana ya mandhari na muundo katika wasifu
- kutambua mandhari na vipengele vya muundo katika wasifu teule
- kuchambua mandhari na vipengele vya muundo katika wasifu teule
Key Inquiry: Je, ni mambo gani huweza kutambulisha wasifu?
Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
7.1.1 Uchanganuzi wa hadithi
- kueleza dhana ya hadithi ya nasabu katika fasihi simulizi ili kuipambanua
- kufafanua dhima za hadithi ya nasabu katika jamii
- kuchambua ujumbe na fani katika hadithi ya nasabu
Key Inquiry: Je, masimulizi ya hadithi za kiukoo yana mchango gani katika kujenga utambulisho wa mtu?
Learning Resources: Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa; Chati za mazungumzo na maamkizi
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
7.2.1 Uchambuzi wa Mashairi
- kueleza dhana za kinaya na kejeli kama vipengele vya mtindo katika ushairi
- kufafanua umuhimu wa kinaya na kejeli katika ushairi
- kutambua kinaya na kejeli katika mashairi mbalimbali kwenye diwani teule
Key Inquiry: Ni nini humchochea mtunzi wa shairi kutumia kinaya na kejeli katika utunzi wake?
Learning Resources: Chati za nyimbo, mashairi na vinasa sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma
Assessment Methods: Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika
KICD Curriculum Source & Editorial Verification
Compiled directly from verified curriculum unit records matching KICD design KICD-SS-Grade12-FAS. ElimuKit preserves official strand/sub-strand codes, lesson allocations, and Key Inquiry Questions without fabricated topics. Read verification methodology →
- Fasihi_ya_Kiswahili_Grade_12-_Jan_2026_Peer_reviewed(10).pdf (Printed pages 23–46) · 10 verified sub-strand units
Frequently Asked Questions
What topics are covered in Grade 12 Fasihi ya Kiswahili Term 2?
This suggested Term 2 sequence groups 10 of 30 verified KICD sub-strands (4.2 Ushairi, 4.3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia, 5.1 Fasihi Simulizi) totaling 50 lessons from the annual Grade 12 Fasihi ya Kiswahili KICD design.
Is this Term 2 division an official KICD term allocation?
No. Official KICD curriculum designs provide the authoritative annual sequence and do not prescribe Term 1, Term 2, or Term 3 assignments (our verified curriculum dataset contains no official term field). ElimuKit sequentially partitions verified units across the three terms for planning convenience—making these term divisions practical planning suggestions rather than official KICD term allocations. You can adjust strand selections for Term 2 in the scheme generator.