Grade 10 Kiswahili Schemes of Work (2026 CBC/CBE)
Explore 10 themes (40 thematic strand sections), 40 sub-strands, and 150 prescribed lessons for Grade 10 Kiswahili. Preview Weeks 1–3 online free without signing up, unlock the complete selected-term editable Word (.docx) scheme (up to 12 weeks) for KSh 50, or explore Term 1–3 and 45-minute lesson plan templates.
Sample 10-Column Grade 10 Kiswahili Scheme Rows (Week 1–2)
Generated strictly from KICD Grade 10 Kiswahili records. Column 10 (Reflection) stays blank during planning.
| Wiki | Kipindi | Mada | Kijisehemu cha mada | Matokeo Maalum ya Kujifunza | Shughuli za Kujifunza | Maswali Dadisi | Nyenzo | Tathmini | Maoni |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 1.1.1 Ufahamu wa Kusikiliza | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kueleza maana ya ujumbe na fani katika matini ili kuipambanua | kutafiti katika vitabu vya marejeleo au kwenye mtandao salama ili kupata maana ya ujumbe na fani katika matini | Je, ni mambo gani unayozingatia ili kutambua ujumbe na fani katika matini simulizi unayosikiliza? | Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 2 | 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 1.1.1 Ufahamu wa Kusikiliza | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutabiri ujumbe wa matini simulizi kwa kuzingatia anwani au picha | kutabiri ujumbe wa matini simulizi kwa kuzingatia anwani au picha | Je, ni mambo gani unayozingatia ili kutambua ujumbe na fani katika matini simulizi unayosikiliza? | Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 3 | 1.2 Kusoma | 1.2.1 Kusoma kwa Ufasaha | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha | kueleza maana ya kusoma kwa ufasaha | Kusoma kifungu cha maelezo kwa ufasaha kuna umuhimu gani? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 1 | 4 | 1.2 Kusoma | 1.2.1 Kusoma kwa Ufasaha | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kusoma kifungu simulizi akizingatia matamshi bora | kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha (k.v. matamshi bora, kiwango kifaacho cha sauti, kasi ifaayo, kiimbo na viziada lugha) | Unahitaji kuzingatia nini ili uweze kusoma kifungu cha maelezo kwa ufasaha? | Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 2 | 1 | 1.3 Kuandika | 1.3.1 Viakifishi | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kujadili matumizi ya herufi kubwa, nukta, kipumuo na alama za mtajo katika matini | kushirikiana na wenzake kujadili matumizi ya herufi kubwa, nukta, kipumuo na alama za mtajo | Kwa nini tunatumia alama za uakifishi katika maandishi? | Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi) | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika | |
| 2 | 2 | 1.3 Kuandika | 1.3.1 Viakifishi | Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutumia ipasavyo herufi kubwa, nukta, kipumuo na alama za mtajo katika matini | kusakura mtandao salama na kusoma kuhusu matumizi ya herufi kubwa, nukta, kipumuo na alama za mtajo | Kwa nini tunatumia alama za uakifishi katika maandishi? | Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi) | Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika |
Prescribed Strands & Sub-strands (40 Sub-strands · 150 Lessons)
| Strand | Sub-strand | Official Lessons |
|---|---|---|
| 1.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 1.1.1 Ufahamu wa Kusikiliza | 4 |
| 1.2 Kusoma | 1.2.1 Kusoma kwa Ufasaha | 4 |
| 1.3 Kuandika | 1.3.1 Viakifishi | 4 |
| 1.4 Matumizi ya Lugha | 1.4.1 Aina za Maneno | 4 |
| 2.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 2.1.1 Matamshi Bora | 4 |
| 2.2 Kusoma | 2.2.1 Kusoma kwa Ufahamu | 4 |
| 2.3 Kuandika | 2.3.1 Uandishi wa Kiuamilifu | 4 |
| 2.4 Matumizi ya Lugha | 2.4.1 Ngeli za Nomino | 4 |
| 3.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 3.1.1 Kuzungumza kwa Kupasha Habari | 4 |
| 3.2 Kusoma | 3.2.1 Ufupisho | 4 |
| 3.3 Kuandika | 3.3.1 Uandishi wa Kiuamilifu | 4 |
| 3.4 Matumizi ya Lugha | 3.4.1 Nyakati na Hali | 4 |
| 4.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 4.1.1 Kusikiliza kwa Kupata Habari | 4 |
| 4.2 Kusoma | 4.2.1 Kusoma kwa Mapana | 4 |
| 4.3 Kuandika | 4.3.1 Uandishi wa Kiuamilifu | 4 |
| 4.4 Matumizi ya Lugha | 4.4.1 Mnyambuliko wa Vitenzi | 4 |
| 5.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 5.1.1 Kusikiliza kwa Kupambanua | 4 |
| 5.2 Kusoma | 5.2.1 Kusoma kwa Kina | 4 |
| 5.3 Kuandika | 5.3.1 Uhariri wa Matini | 4 |
| 5.4 Matumizi ya Lugha | 5.4.1 Ukanushaji | 4 |
| 6.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 6.1.1 Uzungumzaji wa Papo kwa Hapo | 4 |
| 6.2 Kusoma | 6.2.1 Kusoma kwa Ufasaha | 4 |
| 6.3 Kuandika | 6.3.1 Uandishi wa Kiuamilifu | 4 |
| 6.4 Matumizi ya Lugha | 6.4.1 Aina za Maneno | 4 |
| 7.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 7.1.1 Kuzungumza kwa Ufasaha | 4 |
| 7.2 Kusoma | 7.2.1 Kusoma kwa Ufahamu | 4 |
| 7.3 Kuandika | 7.3.1 Uandishi wa Kiuamilifu | 4 |
| 7.4 Matumizi ya Lugha | 7.4.1 Uundaji wa Maneno | 4 |
| 8.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 8.1.1 Kuzungumza kwa Kushawishi | 4 |
| 8.2 Kusoma | 8.2.1 Ufupisho | 4 |
| 8.3 Kuandika | 8.3.1 Uandishi wa Kiubunifu | 3 |
| 8.4 Matumizi ya Lugha | 8.4.1 Vinyume | 3 |
| 9.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 9.1.1 Usikilizaji husishi | 3 |
| 9.2 Kusoma | 9.2.1 Kusoma kwa Mapana | 3 |
| 9.3 Kuandika | 9.3.1 Insha za Kiubunifu | 3 |
| 9.4 Matumizi ya Lugha | 9.4.1 Aina za Sentensi | 3 |
| 10.1 Kusikiliza na Kuzungumza | 10.1.1 Kusikiliza kwa Kuhakiki | 3 |
| 10.2 Kusoma | 10.2.1 Kusoma kwa Kina | 3 |
| 10.3 Kuandika | 10.3.1 Tafsiri | 3 |
| 10.4 Matumizi ya Lugha | 10.4.1 Isimujamii | 3 |
Key KICD Outcomes, Learning Experiences, Resources & Assessment
Sample Specific Learning Outcomes
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kueleza maana ya ujumbe na fani katika matini ili kuipambanua
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutabiri ujumbe wa matini simulizi kwa kuzingatia anwani au picha
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kutambua ujumbe katika matini simulizi aliyoisikiliza
- Kufikia mwisho wa kijisehemu cha mada, mwanafunzi aweze: kuchambua vipengele vya fani katika matini simulizi aliyoisikiliza
Key Inquiry Questions (KIQ)
- "Je, ni mambo gani unayozingatia ili kutambua ujumbe na fani katika matini simulizi unayosikiliza?"
- "Kusoma kifungu cha maelezo kwa ufasaha kuna umuhimu gani?"
- "Unahitaji kuzingatia nini ili uweze kusoma kifungu cha maelezo kwa ufasaha?"
- "Kwa nini tunatumia alama za uakifishi katika maandishi?"
Recommended Learning Resources
Chati za ukutani, mabango na picha za ufundishaji; Tarakilishi, vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti; Vinasa sauti vya mazungumzo na matamshi; Kadi za maneno na msamiati lengwa; Chati za mazungumzo na maamkizi; Diwani za fasihi simulizi na hadithi; Vitabu teule vya fasihi (novela, tamthilia, hadithi fupi); Kamusi ya Kiswahili na kadi za msamiati; Makala na vifungu teule vya kusoma; Vielelezo vya insha na uandishi wa kiutendaji; Chati za viakifishi na uandishi bora; Madaftari ya kuandikia na orodha hakiki; Jedwali la uundaji sentensi, kapu maneno na kadi za maneno; Chati za sarufi na miundo ya sentensi; Kadi za maneno na jedwali la sarufi; Mazoezi ya sarufi kwenye chati za ukutani; Chati za ukutani na picha za ufundishaji; Kadi za maneno na miongozo ya kazi za vikundi; Vifaa vya uigizaji na kadi za mazungumzo; Vifaa vya kidijitali na rekodi za sauti
Assessment Methods
Maswali na majibu ya mdomo; Uchunguzi wa vitendo; Majaribio ya kuandika; Kazi mradi; Mkoba wa kazi; Tathmini ya wenza na binafsi
Standard 10-Column Contract
- 1. Week
- 2. Lesson
- 3. Strand
- 4. Sub-strand
- 5. Specific Learning Outcomes
- 6. Learning Experiences
- 7. Key Inquiry Questions
- 8. Learning Resources
- 9. Assessment
- 10. Reflection (Blank)
KICD Curriculum Source & Editorial Verification
Compiled directly from verified curriculum unit records matching KICD design KICD-SS-Grade10-KIS. ElimuKit preserves official strand/sub-strand codes, lesson allocations, and Key Inquiry Questions without fabricated topics. Read verification methodology →
- Kiswahili_Lugha_Gredi_10_-_JUNI_2025.pdf (Printed pages 3–101) · 40 verified sub-strand units
More Grade 10 Schemes of Work
Kiswahili Across Other Grades
Frequently Asked Questions
How many themes, sub-strands, and lessons are in Grade 10 Kiswahili?
According to KICD design KICD-SS-Grade10-KIS, Grade 10 Kiswahili covers 10 themes (40 thematic strand sections), 40 sub-strands, and 150 official lessons.
How can I view Term 1, Term 2, and Term 3 separately for Grade 10 Kiswahili?
Use the Term 1 (13 sub-strands), Term 2 (14 sub-strands), and Term 3 (13 sub-strands) buttons above or inspect Weeks 1–3 live in ElimuKit Preview.
Can I download an editable Word (.docx) scheme for Grade 10 Kiswahili?
Yes. Inspecting sample Weeks 1–3 online is free; unlocking the complete editable Word (.docx) scheme for your selected term (covering verified KICD lessons, up to 12 weeks) is a one-time KSh 50 M-Pesa fee.